Mbezi/Kimara: Usafiri wa mwendokasi karaha tupu

Serikali hii ilivyo ya kipuuzi wangeruhusu coaster zenye ubora zile private ziingie zibebe level seat hata kwa elfu moja tu kila trip kwa huo mzunguko wa mbezi mwisho mpaka kivukoni na kutumia hio track ya mwendokasi kisha wakawa wanailipia hata buku kila trip ya matumizi wangeingiza hela kibao na hio shida ya magari isingekuwepo hata watu wengi wangepunguza kuenda na magari mjini maana usafiri ni uhakika! Na serikali isimamie kwamba ni level seat abiria atakaesimama ashushwe na atalipa fine ya elfu 30 on the spot!

Haya ndio mambo ya kufikiria kwenye kupanua wigo wa mapato sio kulazimisha watu walipe hela kwa kulimbikiza matozo kwenye simu!

Na hao mwendokasi akili zingewakaa sawa kabisa! Maana kila gari ikiingia ni level seat buku inatembea! Wao wabaki na kupaki mabasi yao kwa sababu za kijinga tu! Watu wanateseka sana during the rush hours gari chache ila mida hio coaster zingekuwa na kibali tu zibebe kwa mchango wa buku kila trip! Anzia saa 9-2 jioni abiria wangekuwa ni bata tu! Unalipa buku kivukoni to mbezi mko level seat hamna ambaye asingetoa na hata hayo mamwendokasi hamna mtu angehangaika nayo!
 
Extrovert umewaza sana maana hata tai tungekuwa tunavaa unaingia saa 12 na nusu Asubuhi unapanda level seat unatembea zako sio huu ujinga wa mwendokasi hata vyuma vya maana havipandi tena.
 
Yeah mkuu, hatuna watu wenye vichwa vya kufikiria kwa upana! Watu wapo ili kula mishahara na posho!
 
Serikali hii ilivyo ya kipuuzi wangeruhusu coaster zenye ubora zile private ziingie zibebe level seat hata kwa elfu moja tu kila trip kwa huo mzunguko wa mbezi mwisho mpaka kivukoni na kutumia hio track ya mwendokasi kisha wakawa wanailipia hata buku kila trip ya matumizi wangeingiza hela kibao na hio shida ya magari isingekuwepo hata watu wengi wangepunguza kuenda na magari mjini maana usafiri ni uhakika! Na serikali isimamie kwamba ni level seat abiria atakaesimama ashushwe na atalipa fine ya elfu 30 on the spot!

Haya ndio mambo ya kufikiria kwenye kupanua wigo wa mapato sio kulazimisha watu walipe hela kwa kulimbikiza matozo kwenye simu!

Na hao mwendokasi akili zingewakaa sawa kabisa! Maana kila gari ikiingia ni level seat buku inatembea! Wao wabaki na kupaki mabasi yao kwa sababu za kijinga tu! Watu wanateseka sana during the rush hours gari chache ila mida hio coaster zingekuwa na kibali tu zibebe kwa mchango wa buku kila trip! Anzia saa 9-2 jioni abiria wangekuwa ni bata tu! Unalipa buku kivukoni to mbezi mko level seat hamna ambaye asingetoa na hata hayo mamwendokasi hamna mtu angehangaika nayo!
Watakwambia kuna "mgongano wa kimaslahi" mi najua

Sent from my SM-J720F using JamiiForums mobile app
 
Huu usafiri ni wa sisi malofa
Ndomana hakuna mtu yoyote
Anayefikiria kuboresha huu mradi
Acha tubaki na ulofa wetu

Ova
 
Back
Top Bottom