Mbezi Kimara fly over?

point to note ,, mawazo yako wameya ground mkuu ,watakuja kujuta.
 
Nimesikia unasema barabara za nairobi rahisi kupitika na hazina foleni???? Asee hakuna mji afrika mashariki wenye foleni kama Nairobi. Foleni ya Nairobi sio mchezo mzee na ubaya hakuna speed limit huko ni fujo kwenda mbele, kama hujazoea kuendesha barabara za fujo usithubutu kuendesha huku nai balaa...uzuri wa huku project ya kenyatta ya treni za umeme ndio inaisha na ni nzuri East Africa nzima
 
Kenyatta ana project ya treni za umeme? Tupe taarifa zaidi
 
Back
Top Bottom