Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

mh! hizo nyumba nzuri ulikua unatafuta wapi?.kama ulikua unatafuta kwetu ilemi, iyela, sinde, ikuti, iyunga,nzovwe, simike,Isanga huwezi kuzikuta. Ila ukiwa na bajeti ya 200k-300k kwa mwezi unapata apartment kali maeneo ya ituha,isyesye, block T, Soweto, Forest, Iwambi.
Sasa wangapi wanaweza kuishi Iwambi, block T na Soweto mkuu. Nadhani hukuelewa point yangu hata Dar watu wote hawaishi Masaki lakini ukienda maeneo mengine unaweza kuishi na ukajihis upo jijini, Arusha vilevile sio wote wanaishi Njiro ila hat ukienda Ngaramtoni utajihisi upo jijini, Mwanza sio wote wanaishi Isamilo au Capripoint, hata ukiwa Buhongwa bado utajihis upo jijini. Nimeishi majiji karbu yote ya Tanzania ila kiukweli lile jiji la Mbeya linaangushwa na nyumba za udongo ambozo ndio asilimia kubwa ya nyumba zilizolizungunga jiji.
 
Back
Top Bottom