mbeya si ndio kunaongoza kwa uchawi?
unafiki mwingine bwana ni balaaWaumini wa dini zote mkoani Mbeya , Jana wamefanya maombi ya kumuombea Rais wa Tanzania. Waumini hao wakiongozwa na viongozi mbalimbali wa Madhehebu ya dini walifanya maombi hayo ktk ukumbi wa Mkapa.
Walimuombea Mh Rais na Taifa kwa ujumla.