Mbeya: Wananchi wenye hasira wachinja hadi kuua watoto wawili wa Diwani wa CCM

Mi sidhani kama ni sahihi kuhusisha mauaji ya hawa watoto na udhulumati wa Diwani. Waliowaua hawa watoto ni wahalifu kama wahalifu wengine, na wakikamatwa waadhibiwe kwa mujibu wa sheria..
 
Back
Top Bottom