Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo walimu hua na moyo wa kutamani mtoto afaulu kwa myanja zote kimadili na kitaalumaHao walimu nao bwana kwa nini wasumbuke na wanafunzi jamani,kwani mwanafunzi akitongozwa huko nje mm mwl napata hasara gani?.Ona sasa wamepata msara bure kwa kufuatilia maisha ya mtu.
Duh...Daudi, chunga. Miaka thelathini si haba!Kwa paja hilo iyo nyumba ya jirani aliyokimbilia kujificha ni kwa nani?
... kucharazwa bakora zisizo na idadi na walimu wanne wa shule hiyo...
Mi ndo maana nimeapa mwanafunzi afanye ujinga anavyoweza adhabu yangu viboko vitatu akinishinda namuacha kama alivyo mana ukijitia hasira unakuja jiletea shida bure mara kibarua kimeota nyasi.Watoto wengine wameshindikana huko makwao unafkiri wewe utaweza kumrekebisha.Pia iwe fundisho mana kuna walimu wana sifa na shobo anamuadhibu mwanafunzi kwa sifa hata kama kakosa ni kadogoMi ningekuwa teacher nisingekuwa na muda na hao watoto,watoto wa siku hizi ni shida,wanaweza hata kukufukuzisha kazi,we kama mtot kaharibika shauri yake dunia itamfunza,usishangae ukakuta tatizo mwalimu wa kike anagombania mwanafunzi wa kiume na mwanafunzi wake,yapo.. nimewahi kusikia mwanafunzi Nkasi kazaa na mwalimu wake wa kike,sijui hii saga iliishia wapi?
Ila watoto wa siku hizi wana viburi jamani, kwa hyo walimu wote wanne walimwonea. Ila yeye mmoja alikuwa sahihi. Nafikiria nje ya boksi.
Na walimu wa kike watatu wapo. Huyo wa kiume mmoja ashike pochi manyoya ya dogo mbele yao?
Hili shauri tumesikiliza upande mmoja.
Mkuu inabidi walimu wasome nyakati waachane na watoto wa watu kazi iwe moja tu KUFUNDISHA.Kwa sababu ukimwonya kama mlezi anaweza akakugeuzia kibao kuwa unamtongoza ndio maana unamfutilia. Leave them alone please.Tatizo walimu hua na moyo wa kutamani mtoto afaulu kwa myanja zote kimadili na kitaaluma
Kuna majukumu mengi inje na kufundisha masomo
Sasa kwenye malezi inabidi wajitoe wabaki na madarasa tuu,
Walimu msome alama za nyakati wafike darasani tu waangalie masomo yao suala la maelezi wawaachie haki za wanawake, na taasisi zao
Kweli haiwezekani walimu wanne wote wamuonee yeye, mitoto ya namna hii ndio inaharibu hata image ya shule kwa ununda na matukio yao, sisi werevu tunataka na upande wa pili uliokamilika la sivyo huyu mwandishi ni mchochezi mwenye nia ya kuwashusha walimu morali au nae mdau
Haingii akilin eti mwalimu wa kiume ashike sehem za siri za mwanafunzi wa kike mbele ya walimu wenzake ambao ni wanawake.Ukiondoa hivyo viboko alivyochapwa,inaonekana mwanafunzi huyo aligundulika kujihusisha na mapenzi kitu ambacho kinaonyesha kwamba walimu wa kike akiwemo wa nidhamu walishindwa kumbana na kuhitaji msaada wa mwalimu wa kiume,by the way kama mimi nigekuwa mzazi ningemtibia kisha kesi ingehamia nyumbani.Haki ya nani angetaja tu vibwana vyake na walimu ningewanunulia hata ka jogoo cha pongeziIla watoto wa siku hizi wana viburi jamani, kwa hyo walimu wote wanne walimwonea. Ila yeye mmoja alikuwa sahihi. Nafikiria nje ya boksi.
Na walimu wa kike watatu wapo. Huyo wa kiume mmoja ashike pochi manyoya ya dogo mbele yao?
Hili shauri tumesikiliza upande mmoja.