Jamani wana jamii forums ninachukua nafasi hii kuwataarifu kwamba,mbeya maeneo ya mwanjelwa vurugu zimeanza mara baada ya wananchi kuchoka kusubiri matokeo.
Maeneo ya mafiat magari hayatembei kabisa kwa mujibu wa taarifa.
Naomba tume itangaze majibu haraka iwezekanavyo kuokoa jahazi maana watu wa mbeya niwajuavyo..