Elections 2010 Mbeya vurugu zimeanza rasmi

ramson34

Senior Member
Oct 29, 2009
109
4
Jamani wana jamii forums ninachukua nafasi hii kuwataarifu kwamba,mbeya maeneo ya mwanjelwa vurugu zimeanza mara baada ya wananchi kuchoka kusubiri matokeo.

Maeneo ya mafiat magari hayatembei kabisa kwa mujibu wa taarifa.

Naomba tume itangaze majibu haraka iwezekanavyo kuokoa jahazi maana watu wa mbeya niwajuavyo..

Waambie watulize monkari.

Alichoandika Mungu hakiwezi kubatilishwa.

Fanyeni kama Mwanza, Komaeni hadi kieleweke, mkilala tu mkiamka Sugu chali

Jamani wana jamii forums ninachukua nafasi hii kuwataarifu kwamba,mbeya maeneo ya mwanjelwa vurugu zimeanza mara baada ya wananchi kuchoka kusubiri matokeo.

Maeneo ya mafiat magari hayatembei kabisa kwa mujibu wa taarifa.

Naomba tume itangaze majibu haraka iwezekanavyo kuokoa jahazi maana watu wa mbeya niwajuavyo..

Wanabana wataachia tu, si kama arusha mjini,maswa, nyamagani.

Lakini na hao wanasubiri nini kutangaza? Nchi hii inahitaji mabadiliko makubwa sana

Hivi sasa maeneo ya mafiat mabomu yanarindima. Wafuasi wanaodaiwa ni wa chadema wamekusanyika kushinikiza matokeo ambayo tume ya uchaguzi inasita kuyatangaza kukiwa na habari sugu ni mshindi na habari zingine zikisema mpesya wa ccm atatangazwa mshindi.

Sisi arusha tumekomaa mpaka CCM wakasalimu amri na hatimaye wakamtangaza Godbless Lema

Hivi sasa maeneo ya mafiat mabomu yanarindima. Wafuasi wanaodaiwa ni wa chadema wamekusanyika kushinikiza matokeo ambayo tume ya uchaguzi inasita kuyatangaza kukiwa na habari sugu ni mshindi na habari zingine zikisema mpesya wa ccm atatangazwa mshindi.

Msilazimishe atangazwe mnayemshabikia. Tuiachie tume itangaze tuliyempigia kura.
Mnalazimisha lazima ashinde wa Chadema?
Jaziba kama hizi ndo chanzo cha uvunjifu wa amani.

nyooooooooooooooooo........................ko!!

we kishongo nenda ukalale, tunataka matokeo hatujasema tunamtaka mtu. Kwani nchi zima wameshinda CHADEMA?

Back
Top Bottom