Mbeya Vijijini: Ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,889
939
MBEYA VIJIJINI - MBEYA SIKU YA PILI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi akizungumza katika Kikao Wilaya ya Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya ambapo alizungumza na wanachama katika Shina namba 1, pamoja na kuzindua shina la wakereketwa pia kukagua mradi wa maji uliogharimu Tsh Bilioni 3.5 pamoja na Kukagua madarasa.

KaziInaendelea
Chama Imara Serikali Imara

photo_2021-07-13_18-33-00.jpg
 
Kwahio mikutano imerhusiwa kwa CCM tu sio? Au huyu Kenenani ana jimbo huko? Upuiuzi mtupu
 
Mwenyekiti au Katibu wa BAVICHA akifanya haya anayofanya Kenan wataambiwa wanaleta chokochoko.
Hapana ndugu, BAVICHA wafanye ziara kama hizi kama akina nani? Ila unajua hata BAVICHA hizi ziara wanafanya kwa sababu niliona wanajenga kama siyo Ofisi ni nyumba za viongozi wao na hakuna aliyewazuia. Kenan Kihongosi hapa yeye anakagua na kufuatilia utekelezaji wa ILANI ya CCM ili kuhakikisha ahadi za uchaguzi zinawafikia Watanzania.
 
Hicho ni kikao cha ndani? huyu maza kuna haja ya kudeal naye maana anapita mulemule kwa dikteta
Kwani amekataa vikao vya ndani au nje? Tuwe tunatunza kumbukumbu vizuri kwa sababu Mbowe na Pambalu wana mfululizo wa ziara na mpaka wamefikia hatua ya kusimamisha misafara barabarani na kuongea na wananchi. Ni juzi tu Mbowe amesitisha ziara Zanzibari kwa sababu ya msiba wa kaka yake. Au hamjaziona picha za ziara za CHADEMA huko Jamhuri ya Twitter na kwenye ufalme wa Instagram!
 
Mikusanyiko hiyo ni kuwaambia wasikusanyike sababu corona akili ndogo sana hizo
 
Back
Top Bottom