The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Like president like minister. Kumbe Ngeleja ni kilaza kiasi hicho? Si ndiyo huyu Ngeleja alikuwa kwenye kampeni za uchaguzi Tarime wakati nchi inakabiliwa na tatizo la mgawo wa umeme?
Afanye lipi liwapendeze? Kapeleka watuhumiwa wa EPA mahakamani imeonekana ni geresha; kaenda kuhudhuria msiba wa Mbunge tena rafiki yake inaonekana kaanza kampeni; AFANYEJE RAIS WETU?
Ajiuzulu?labda?
HAPANA Mama. Yeye hayuko kama EL aliyesema wakati anaachia ngazi kwamba shida ya wanaomwandama ni UWAZIRI MKUU!
sasa huyu nae mbona anaandamwa hivyo, umesema pale hakuna jema (mi nikawaza labda amekuwa news headline maker na sio rais?) analolifanya, what is the soln?
Mama,
Ninachokiona kwa baadhi ya wanaomwandama ni WIVU, wengine wana "Marais" wao tangu ile 2005!, ukiwauliza kashindwa lipi kama Rais wanakupa porojo tu.
Mama,
Ninachokiona kwa baadhi ya wanaomwandama ni WIVU, wengine wana "Marais" wao tangu ile 2005!, ukiwauliza kashindwa lipi kama Rais wanakupa porojo tu.