Mbeya tuna umeme tangu juzi, vp Mwanza na Arusha?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbeya tuna umeme tangu juzi, vp Mwanza na Arusha??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Whisper, Aug 20, 2011.

 1. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hoja ya Mh. Wenje juu ya mgao wa umeme imeleta ahueni hapa Mbeya. Tangia juzi usiku tumekuwa na umeme wa uhakika. Kwa kuwa ni kitu ambacho hatujakizoea, mpaka leo hii siamini kama nipo Tanzania. Wadau wa mikoa mingine tunaomba mshindo nyuma, hali ikoje?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kwanini ni majimbo ambayo chadema imeyateka ndio kuna matatizo ya umeme sana?
   
 3. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Arusha upo umeme since jana jioni.!
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu, Arusha tangu jana umeme upo leo mida ya saa 5 ulikatika kama dakika 20 ukarudi...

  Asante Wenje
  Asante chadema
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  Tukilala wanalala tushukuru jitihada za CDM ndo wanatusaidia kuwaamsha hawa wanaofanya kazi kama wagonjwa wa vifafa,lakini CDM peke yake haitoshi wananchi tunatakiwa kuamka kuungana na CDM kudai umeme,pamoja twaweza...huku Tabora kidogo nako siyo taiti sana
   
Loading...