Mbeya Top export! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbeya Top export!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanamasala, Oct 16, 2009.

 1. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mponjoli Malakasuka nafikiri is the only famous export from Mbeya region!
  Hata mafraudsters wa Kinigeria hawamfikii!I guess hizi gari zote alikuwa ananunua cash,kutoka kwa carjackers!Kama pesa za EPA zimo ,ni very interesting,tunasubiri majina ya wafisadi hawa,ambao wametuharibia jina huko UK,Midlands!

  Huyu mchungaji alimfungisha ndoa Mponjoli,shame to him!
  [​IMG]
   
 2. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Sasa na wewe huyo mchungaji aliyemfungisha ndoa Mponjoli kafanya kosa gani mtumishi wa watu? Au kuna uhusiano gani kati ya pastor na utapeli wa mponjoli?
  Au madhumuni yako ni nini haswa hadi kuweka picha ya mtumishi wa watu hapa?Kama huna thread ya kuanzisha nafuu uchangie za watu wengine kuliko kuweka sura ya huyo mtumishi asiyekuwa na hatia.
   
 3. m

  mwanamasala JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2009
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pretty unafaidi matunda ya criminality ya ndugu yako Mponjoli?
   
 4. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Thread haina mvuto na logic inayoendana na kichwa husika.
  "Mbeya top export" ? that seems like an innuendo and regional character assasination.
  Na wewe mkuu unatoka mkoa upi ilitukuchambue kama karanga.
  The least we can deduce from you is that you are of a feeble character and mind-and mind you I do NOT support the hooligan ,Mponjoli.
  These characters can be found all over the world.
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Aliyokwambia Mponjoli ndugu yangu nani?Mimi swali langu mchungaji kahusiana nini na Mponjoli hadi unasema shame on him?
   
 6. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  mwambie huyo *****,yeye anakazania tu kuchafuliwa jina huko u.k,nyie ndo mnawalamba miguu wazungu hata wakiwatukana,huyo mponjoli ni mfano tu wa watoto waliokuzwa mbeya tena huyo ukimpeleka kwa watoto wenyewe wa kazi mbeya town pale watamvalisha kanga acheze mdundiko tu,huyo pale mbeya hatambi kabsa uliza uambiwe,kuna vijana walikua wanakata viungo vya binadamu na walikua wanatumwa na wazungu miaka hiyo pale forest karibu na mwanjelwa huyo mponjoli nadhani alikua yuko chekechea,lile pori lilikua limejaa gari za kisasa zinanguruma na ole wako wakukamate,ukitembea mle kukutana na mafuvu ya binadamu ilikua kawaida kabisa,hivyo wewe ukiona kijana kutoka mbeya akatoka nje na kuona maisha yalee mengine elewa huyo mtu roho yake ngumu kamajiwe hawezi kuogopa chochoteataiba mpaka visivyoibwa,umafia kule ni kawaida,we uliza miaka ya 80,s kulikua na watu gani na walikua wanafanya nini,na huyo dogo baba yake hao ndo walikua washkaji zake,jombi,jengela,kibo family,jimmy k,.hiyo ni mifano tu ya watu kama mponjoli,hakuna haja ya kumlaumu.
   
 7. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Mchungaji kosa lake ni lipi hasa hapa,kumfungisha ndoa MPONJOLI????
   
 8. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,322
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  Jibu swali,Mchungaji kosa lake ni lipi hasa,haruhusiwi kumfungisha ndoa MPONJOLI???..Blah blah nyiiiiiiiiiiiingi
   
Loading...