Mbeya: TANESCO yakata umeme kuokoa maisha ya mtu aliepanda juu ya nguzo ya njia kuu ya umeme

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,784
699,255
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)Mkoa wa Mbeya linaomba radhi wateja wake wa Mkoa Mbeya wanaokosa umeme muda huu.

Sababu: Kuna Mtu amepanda juu ya Laini yetu ya Njia Kuu ya umeme ya kuja Mbeya eneo la Igurusi, hivyo Laini Imetolewa umeme kumuokoa.
Huduma itarejea baada ya jitihada za uokoaji kukamilika.

*Maeneo yaliyoathirika* Mkoa Mbeya na wilaya zake.

Shirika linaomba radhi kwa usumbufu uliyotokea.
IMG-20200823-WA0025.jpg

TANESCO ililazimia kuzima Njia kuu ya Kusafirisha Umeme itokayo Makambako kwenda Mbeya mnamo saa 11:58 jioni, ili kuokoa maisha ya mtu aliyepanda juu ya nguzo za njia na hivyo kusababisha katizo la umeme katika maeneo yote ya Mkoa wa Mbeya.

*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*

*Agosti 22, 2020*

**TAARIFA YA KUREJEA KWA UMEME MKOA WA MBEYA.*

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wa Mkoa wa Mbeya kuwa huduma ya umeme imerejea mnamo saa 12:39 jioni .

SABABU YA KUKATIKA KWA UMEME
 
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)Mkoa wa Mbeya linaomba radhi wateja wake wa Mkoa Mbeya wanaokosa umeme muda huu.

Sababu: Kuna Mtu amepanda juu ya Laini yetu ya Njia Kuu ya umeme ya kuja Mbeya eneo la Igurusi, hivyo Laini Imetolewa umeme kumuokoa.
Huduma itarejea baada ya jitihada za uokoaji kukamilika.

*Maeneo yaliyoathirika* Mkoa Mbeya na wilaya zake.

Shirika linaomba radhi kwa usumbufu uliyotokea.View attachment 1546109
Magufuli hoyee!!!
 
Huyo jamaa pichani nadhani atakuwa ngedere, huko juu ni sehemu salama sana
 
Back
Top Bottom