Mbeya na fedha za Manyoka(kuku+ulezi)

Si wote jamani, namfahamu jamaa mmoja jirani yagu ambaye Kila kukicha "wenyeji" wanamwita "Mshirikina ndy maana anatajirika!" Lakn binafsi nikiangalia pesa anazoinvest na marejesho anayopata ni sawa kabisa kutajirika siku hadi siku, he is up saa kumi na moja alfajiri na analala saa saba usiku!!!!! wabongo wengi hawakosi maneno wanapoona mafanikio ya wenzao! UVIVU TU.😠
Da milikwenda kwa mganga nilipewa shart siliwezi kabisa akaniambia eti baada kufanikiwa niwe na mwanamke mmoja tu yaani mke wangu nisichepuke ,sasa naanzaje kua na mwanamke mmoja wakati hela nnayo nilishindwa tena nilimwamwambia siku ingine nikienda anipe mashart mepesii
 
Natafuta hata hiyo sijapata ebu nielekeze ni wapi ipo niende
 
Aisee hiyo makitu ipo,nakumbuka kuku waliyempa mahindi nilipoenda kwa mshana jr alikula punje 70,kuna kajamaa nilikuwa nako ilipofika zamu yake kuku alikula punje moja,jamaa machozi yakaanza kumtoka
 
Back
Top Bottom