Mbeya: Mwanamke aliyeiba kichanga hospitalini akamatwa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,497
Jeshi la Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wamemkamata mwanamke mmoja mkazi wa 'Airport' ya zamani akiwa na mtoto mchanga jinsia ya kike aliyemuiba katika Hospitali ya Mkoa wa Mbeya.
Mpinga.jpg

Hayo yamebainishwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Naibu Kamishina wa Polisi Mohamed .R. Mpinga wakati alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari na kusema mnamo Februari 3, 2018 kwa kushirikiana na viongozi wa hospitali hiyo walifanikiwa kumshika kijana huyo aliyefahamika kwa jina la Happy Charles (24) ambae anajishughulisha na kazi ya Mama lishe.

Aidha, Kamanda Mpinga amesema mnamo Februari mosi mwaka huu majira ya saa 4:00 usiku katika wodi ya watoto Hospitali ya Mkoa wa Mbeya iliyopo Kata ya Forest Mpya, Tarafa ya Iyunga, Jijini Mbeya, mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Sarah Mwasanga Mkazi wa Iganzo akiwa katika wodi ya wazazi Hospitalini hapo baada ya kujifungua mtoto wa kike aligundua kuibiwa kwa mtoto huyo na mtu asiyefahamika.

Kutokana na tukio hilo, uongozi wa Hospitali hiyo ulitoa taarifa kituo kikuu cha Polisi na ndipo upelelezi kuhusiana na tukio hilo ulianza kufanyika.

Msikilize hapa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Naibu Kamishina wa Polisi Mohamed .R. Mpinga pamoja na mzazi wa aliyeibiwa mtoto wakifafanua vizuri juu ya tukio hilo.

Eatv
 
View attachment 691042

Duniani kuna mambo, wengine wanatafuta watoto kwa udi na uvumba wengine kila leo wanatupa watoto au wanatoa mimba
 
Tunahitaji kumwona kwenye picha ili siku nyingine tumdhibiti ikiwezekana kuwakamata wahusika wenzake
 
Watu wa Mbeya bwana, yaani kila kukicha ni vituko tu vya hajabu hajabu....mara wawawekee majirani shahawa mlangoni pamoja na used condoms. Ule mkoa nadhani ulilaaniwa kitambo.
 
Umenitukania mkoa wangu aiseee...
Hakuna mkoa usokuwa na uhalifu,Mbeya ni moja ya mikoa iliyobarikiwa kwa almost kila kitu.
Karibu Mbeya.
 
Nilisoma Iyunga Sec miaka ya 80.....nimekaa kule na kuona ujinga wote uliopo pale na wala sina tena na hamu ya kwenda hata kujisaidia haja ndogo.
 
Back
Top Bottom