Unamlinganisha Lyatonga wa wakati ule na TuliaHicho siyo kisingizio, Augustino Lyatonga Mrema akiwa Nccr mageuzi alishinda katika uchaguzi mgumu kuliko ule wa Kinondoni!
Unamlinganisha Lyatonga wa wakati ule na TuliaHicho siyo kisingizio, Augustino Lyatonga Mrema akiwa Nccr mageuzi alishinda katika uchaguzi mgumu kuliko ule wa Kinondoni!
Kwa hii comment yako unamaanisha ccm ilishinda kihalali kabisa kinondoni?
Kumbe kuna ukabila huko!,du!Mbeya ipo hivi.
1. Msafwa kumpa kura mnyakyusa ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa
2. Mbeya imejaa wakinga. wafanya biashara wakubwa pamoja na machinga 90% ni wakinga
3. Wafanyabiashara ndogo ndogo ni wengi sana kwa mbeya kuliko hata wanyakyusa wanaoishi mbeya mjini
4. Wafanyabiashara wa Mbeya wakuwa wana ushawishi sana ingawa ukiwaona kwa nje unaweza dhani ni watu waliopooza sana
5. Sugu ni mkinga jina la Mbilinyi ndo linalombeba sana
mpuuzBasi Tulia atawashangaza!
Kauli yako ni kama zile zilizokua zikitoka kwamba Sugu akifungwa mbeya patachimbika,akala za uso na maisha ya utulivu yakaendelea kama kawaida,watu wanaanza kutambua wajibu wao na si ushabiki maviTulia akigombea Mbeya mjini itakuwa ni kujutakia kudharirika.
Mimi ni mwenyeji mzuri sana wa Mbeya na nilikua mfanyabiashara ndogondogo na ni mnyakyusa pure. Unachosema nakuunga mkono %100 wengi hawalijui hilo Mbeya ni pagumu sana kwa mnyakyusa kupita tena Serikali wasijidangaye hata kwa mtutu. Ukiondoa mnyakyusa makabila madogomadogo yote yaliyo mbeya mjini wana msimamo mkali nategemea ndo jiji pekee watalobakia nalo CHADEMA 2020Mbeya ipo hivi.
1. Msafwa kumpa kura mnyakyusa ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa
2. Mbeya imejaa wakinga. wafanya biashara wakubwa pamoja na machinga 90% ni wakinga
3. Wafanyabiashara ndogo ndogo ni wengi sana kwa mbeya kuliko hata wanyakyusa wanaoishi mbeya mjini
4. Wafanyabiashara wa Mbeya wakuwa wana ushawishi sana ingawa ukiwaona kwa nje unaweza dhani ni watu waliopooza sana
5. Sugu ni mkinga jina la Mbilinyi ndo linalombeba sana
Wacha jamaa aendelee kumpigia promo!Kitu pekee kitakachoweza kumpa ushindi tulia kwa jimbo la mbeya mjini ni jeshi la polisi kuingilia mchakato wa uchaguzi kama walivyofanya kinondoni
Utakuwa ni mpambano wa watu wawili tofauti kabisa.... Niishie hapo!
Rungwe yupo Kasesela anapiga jalamba!
Mwanasiasa was Africa ana element nyingi sana za kishetani full of injusticeHivi Sugu marathon , Sugu traditional dance festival itaruhusiwa???
Au tamasha LA michano ya 90s - 2000s LA sugu & co hapo mbeya linaweza kuruhusiwa??
TA mnampamba sana huku wengine mmewafunga mikono na gerezani.
Bora umewaambia maana wengi hawajui kuwa Tulia ni mzawa wa Rungwe na tageti yake ni kulichukua jimbo la Rungwe.Tulia anagombea Rungwe sio mbeya mjini ,,,nipo huku nashuhudia mengi
Sauli anampisha Tulia
Na hii ni habari mbaya kwa kasesera ambaye anapiga jalamba kumrithi sauli
Bado itakuwa vigumu, namshauri huyu binti aachane na mbeya, kwanza mbeya mwanamke kwenye uongozi kuanzia ndani ya nyumba syo preference yao,sawa na moshi kwa wachaga,tofauti kubwa ya kura itamnyima huyo dada ushindi.aombe kuteuliwa kama ilivyo sasa.wanyaki hawapendi ujinga na kampeni hizi zitaongozwa hata na wana ccm wenyewe