Uchaguzi 2020 Mbeya mjini 2020: Tulia marathon vs Wajelajela

Mbeya ipo hivi.
1. Msafwa kumpa kura mnyakyusa ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa
2. Mbeya imejaa wakinga. wafanya biashara wakubwa pamoja na machinga 90% ni wakinga
3. Wafanyabiashara ndogo ndogo ni wengi sana kwa mbeya kuliko hata wanyakyusa wanaoishi mbeya mjini
4. Wafanyabiashara wa Mbeya wakuwa wana ushawishi sana ingawa ukiwaona kwa nje unaweza dhani ni watu waliopooza sana
5. Sugu ni mkinga jina la Mbilinyi ndo linalombeba sana
Kumbe kuna ukabila huko!,du!
 
Tulia akigombea Mbeya mjini itakuwa ni kujutakia kudharirika.
Kauli yako ni kama zile zilizokua zikitoka kwamba Sugu akifungwa mbeya patachimbika,akala za uso na maisha ya utulivu yakaendelea kama kawaida,watu wanaanza kutambua wajibu wao na si ushabiki mavi
 
Mbeya ipo hivi.
1. Msafwa kumpa kura mnyakyusa ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa
2. Mbeya imejaa wakinga. wafanya biashara wakubwa pamoja na machinga 90% ni wakinga
3. Wafanyabiashara ndogo ndogo ni wengi sana kwa mbeya kuliko hata wanyakyusa wanaoishi mbeya mjini
4. Wafanyabiashara wa Mbeya wakuwa wana ushawishi sana ingawa ukiwaona kwa nje unaweza dhani ni watu waliopooza sana
5. Sugu ni mkinga jina la Mbilinyi ndo linalombeba sana
Mimi ni mwenyeji mzuri sana wa Mbeya na nilikua mfanyabiashara ndogondogo na ni mnyakyusa pure. Unachosema nakuunga mkono %100 wengi hawalijui hilo Mbeya ni pagumu sana kwa mnyakyusa kupita tena Serikali wasijidangaye hata kwa mtutu. Ukiondoa mnyakyusa makabila madogomadogo yote yaliyo mbeya mjini wana msimamo mkali nategemea ndo jiji pekee watalobakia nalo CHADEMA 2020
 
Kitu pekee kitakachoweza kumpa ushindi tulia kwa jimbo la mbeya mjini ni jeshi la polisi kuingilia mchakato wa uchaguzi kama walivyofanya kinondoni
Wacha jamaa aendelee kumpigia promo!
Huyo Tulia, hata kura za maoni, hawezi kukatiza!
Labda abebwe na Mwenyekiti wao, kumpitisha kuwa mgombea wa chama chao!
Kwenye box la jumla, kipigo atachopata, hatasahau! Huko sio KINONDONI!
 
Utakuwa ni mpambano wa watu wawili tofauti kabisa.... Niishie hapo!

Hivi Sugu marathon , Sugu traditional dance festival itaruhusiwa???
Au tamasha LA michano ya 90s - 2000s LA sugu & co hapo mbeya linaweza kuruhusiwa??
TA mnampamba sana huku wengine mmewafunga mikono na gerezani.
 
Tulia hawezi kushinda Mbeya my n kama asinge kuwa mnyakyusa

Msafwa hawezi kumpigia kura mnyakyusa

Maana wanyakyusa wanadharau wasafwa na wasafwa hivyo hivyo TULIA ATASUBIRI SANA
 
Hivi Sugu marathon , Sugu traditional dance festival itaruhusiwa???
Au tamasha LA michano ya 90s - 2000s LA sugu & co hapo mbeya linaweza kuruhusiwa??
TA mnampamba sana huku wengine mmewafunga mikono na gerezani.
Mwanasiasa was Africa ana element nyingi sana za kishetani full of injustice
 
Tulia anagombea Rungwe sio mbeya mjini ,,,nipo huku nashuhudia mengi

Sauli anampisha Tulia
Na hii ni habari mbaya kwa kasesera ambaye anapiga jalamba kumrithi sauli
Bora umewaambia maana wengi hawajui kuwa Tulia ni mzawa wa Rungwe na tageti yake ni kulichukua jimbo la Rungwe.
 
Tulia kama mwanamke hana shida Dada was watu ila ana back up ya system isiyopendwa ya JP mzee mwandosya tayari ameshajipambanua kitendo cha kupiga pic na sugu

Ukitaka uijue vema mbeya muulize mama salma jk atakusimulia ya pale mwanjelwa miaka hiyo mpk umeme ukakatwa mbeya nzima kama adhabu kwa mwezi mzima

Watu wa mbeya sio wa kispot
 
Bado itakuwa vigumu, namshauri huyu binti aachane na mbeya, kwanza mbeya mwanamke kwenye uongozi kuanzia ndani ya nyumba syo preference yao,sawa na moshi kwa wachaga,tofauti kubwa ya kura itamnyima huyo dada ushindi.aombe kuteuliwa kama ilivyo sasa.wanyaki hawapendi ujinga na kampeni hizi zitaongozwa hata na wana ccm wenyewe


Kama Tulia kajipima anaona inawezekana wacha ajaribu. Nani ngeamini miaka ile Sugu angeangusha majabali wa siasa za huko?
Esther Bulaya na Esther Matiko ni wamama na wabunge wa kuchaguliwa majimboni kwa Mkoa wa Mara na wanaongoza hadi wanaume hivyo kwa Mbaya hakuna la ajabu.
 
Kwa maendeleo ambayo sugu kaleta mbeya mjini it will take more than a marathon to take his place.
 
Ukiangalia wafanyabiashara wengi ni wakinga na ndio waliotawala mbeya halaf ukichanganya na haya mambo wanayofanya hawa TRA dah!

Sijui lakini bcz this country have got a lot of surprise
A lot of miracles.
Let me wait for another surprise ,another miracles
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom