Uchaguzi 2020 Mbeya mjini 2020: Tulia marathon vs Wajelajela

Mbeya ipo hivi.
1. Msafwa kumpa kura mnyakyusa ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa
2. Mbeya imejaa wakinga. wafanya biashara wakubwa pamoja na machinga 90% ni wakinga
3. Wafanyabiashara ndogo ndogo ni wengi sana kwa mbeya kuliko hata wanyakyusa wanaoishi mbeya mjini
4. Wafanyabiashara wa Mbeya wakuwa wana ushawishi sana ingawa ukiwaona kwa nje unaweza dhani ni watu waliopooza sana
5. Sugu ni mkinga jina la Mbilinyi ndo linalombeba sana
 
Basi Tulia atawashangaza!
 
Tulia namuonea huruma mby mjini labda rungwe huko anaweza kuambulia...
 
Kitu pekee kitakachoweza kumpa ushindi tulia kwa jimbo la mbeya mjini ni jeshi la polisi kuingilia mchakato wa uchaguzi kama walivyofanya kinondoni

Bado itakuwa vigumu, namshauri huyu binti aachane na mbeya, kwanza mbeya mwanamke kwenye uongozi kuanzia ndani ya nyumba syo preference yao,sawa na moshi kwa wachaga,tofauti kubwa ya kura itamnyima huyo dada ushindi.aombe kuteuliwa kama ilivyo sasa.wanyaki hawapendi ujinga na kampeni hizi zitaongozwa hata na wana ccm wenyewe
 
hivi nyie mko wapi
hivi huu utawala mnadhani RAIA ndo wanachagua wawakilishi Aminini nawaambieni so Mbeya so Arusha so Karatu hats Hai uchaguzi ukiwepo CCM ndo watatawazwa nyie endeleeni na ramli zenu maana hamjui kilichoisibu Tanganyika
 
Mbeya ipo hivi.
1. Msafwa kumpa kura mnyakyusa ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa
2. Mbeya imejaa wakinga. wafanya biashara wakubwa pamoja na machinga 90% ni wakinga
3. Wafanyabiashara ndogo ndogo ni wengi sana kwa mbeya kuliko hata wanyakyusa wanaoishi mbeya mjini
4. Wafanyabiashara wa Mbeya wakuwa wana ushawishi sana ingawa ukiwaona kwa nje unaweza dhani ni watu waliopooza sana
5. Sugu ni mkinga jina la Mbilinyi ndo linalombeba sana

Kuna ukabila kumbe?
 
Back
Top Bottom