Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 10,526
- 13,013
Kuna mjinga mmoja eltwege alisema huyu jamaa mdude anauza ngada za kiongozi! Leo mahakama imewavua nguo
Peleka huko shetani wewe! Hata aliyefanya madhambi haya ulimsifia kwamba anakubalika kwa 100% na wananchiMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Acha tu ndugu, imagine kesi zote ambazo watu wamebambikiwa na kuachiwa huru, huo muda walioupoteza wanaurejeshaje?Lakini nchi hii tunanyanyasana sana wakuu.
Muda aliopoteza, familia ilivyoteseka daah
unajuwa alichokuwa akifanya mpaka akakamatwa? hiyo iwe fundisho kwa vijana wenye ulimbukeni kama yeyeLakini nchi hii tunanyanyasana sana wakuu.
Muda aliopoteza, familia ilivyoteseka daah
Naunga mkono Hoja.Natoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6 , kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani
Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania , ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi
Magufuli atakufa tena huko alikoMdude ni Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA ambaye alitumia muda mwingi kuikosoa Serikali ya Awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati John Magufuli
Ulishawahi kusema anauza ngada za mbowe .mwanaharamu wewe.Mdude sasa hivi kazi yake itakuwa ni kusifia Samia tu
Magufuli lazima awe kuni za kuchoma washenzi wenzake huko alikoMdude sasa hivi kazi yake itakuwa ni kusifia Samia tu
Aibu kwa mwendazake pamoja na genge linalo mwabudu (push gang).Aibu nyingine kwa mwendazake.
Mdude sasa hivi kazi yake itakuwa ni kusifia Samia tu