Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mkubwa hatukanwi na wala havunjiwi heshima bali anakosolewakistaarabu.

Kwa hiyo akishindwa kuwajibika usimvunjie heshima na kumtukana,unatakiwa umkosoe tena assume unamkosoa baba yako hivyo utumie akuli za kiungwana kukosoa.

Ukijiona jabali,ukijiona kwamba una haki ya kutumia lugha yeyote kwa sababu kakosea na hawajibiki basi hatuumii sisi utaumia wewe na familia yako nyumbani.

Sisi tutaendelea kuepukana na shari zao huku wewe ukiendelea kusota jela kwa ushujaa wako.

Sisemi kuwa ukitumia kauli za kiungwana hautakutwa na masaibu hapana,unaweza kutumia kauli hizo na ukakutwa lakini huo usiwe mwanya wa wewe kusema utukane tu.

Ttaizo watanzania hatuna adabu,tukiingia kwenye isasa tunaacha adabu nje
haya ndio yale matoto yanayojua matako ya baba zao kwa kupiga chabo.

hayana adabu hata ya dalili.
 
Hujakumbuka na Mangula alivyowekewe sumu?
Na wale wabunge walionunuliwa kina waitara na leo ni mawazir. Unajiita chama utawala wakati hata viongozi unanunua?????
kuna yule aliyeanguka akitoka kilabuni,akasema kapigwa ugoko peke yake.
 
Meko alikuwa mtu wa roho ya kipekee sana aliweza kutumia madaraka yake vibaya mno na akawatengeneza waimba kwaya wanaomsifia kama vichaa.

Hivi kweli kabisa haya yote hawaoni kwamba jamaa alikuwa katili sana kiasi ya kumsifia namna hii? Nahisi kuna team ilitoka Bujumbura kuja kumsifia mtu wao.

Sad kwakweli.
wanaonedelea kumsifu wanajibu majibu ya wanga wanaondelea kumsema vibaya.

upande wa kufunga vitobo kwanza ni huu wa shetani.
 
Back
Top Bottom