Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,805
- 11,965
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mbeya. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.Mkoa wa Mbeya una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:-
Mbeya Mjini -
Tulia Ackson(CCM) - Kura 75,225
Joseph Mbilinyi( CHADEMA) - kura 37,591
Busekelo -
Atupele Mwakibete (CCM)
Kyela -
Ally Jumbe (CCM)
Lupa-
Masache Kasaka (CCM)
Mbalali -
Franscis Mtega (CCM)
Mbeya Vijijini -
Oran Njeza (CCM)
Rungwe -
Anthony Mwantona (CCM)
ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.