Mbeya: Lawrence Masha na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni watiwa mbaroni kwa kudaiwa kuvunja nyumba ya mwekezaji

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,020
691
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha na Mbunge wa Jimbo la Busega Raphael Chegeni pamoja na vijana 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wakituhumiwa kuvunja nyumba ya muwekezaji wa zao la Parachichi Peter Cruise kinyume cha taratibu.

Masha na wenzake wanadaiwa kufanya fujo hizo wakidai wana amri halali ya Mahakama Kuu ya kuwatoa nje mke wa Peter aitwaye Petra na mwanasheria wake Robyin Kennedy wakati mmiliki akiwa amesafiri.

Pia wanadaiwa kuwajeruhi kwa kuwapiga watu hao ambao baada ya kupigwa waliripoti tukio hilo kituo cha polisi Tukuyu na kisha kutibiwa katika hospital ya wilaya ya Makandana.

ku1.jpg
ku2.jpg
ku2.jpg
ku3.jpg
ku4.jpg
 
Aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Lawrence Masha, Mbunge wa Busega Raphael Chegeni na vijana 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani Rungwe,Mbeya wakituhumiwa kuvunja nyumba ya muwekezaji wa zao la Parachichi Peter Cruise. Picha na Mitandao ya kijamii #MwananchiUpdates.

IMG_20181028_182801.jpg
 
Back
Top Bottom