Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,635
- 40,790
Hilo ni dhahiri mwenyewe analifahamu pia.Nipo Mbeya.Nimeongea na baadhi ya watu.Kwa masikitiko ni kuwa hakuna jinsi bali Sugu atatoka.Watu wameaminishwa kuwa kuna mambo yanakwama kwa kuchagua upinzani na ili wayapate inabidi kiti kirudi kwenye kijani.
Ushauri wa Sugu-Pima upepo na usiweke mayai yote ndani ya kapu moja.