MBEYA: Jeshi la Polisi linalishikilia lori la Kampuni ya Oil Com, baada ya kukutwa limebeba vipodozi na pombe vilivyopigwa marufuku

Hali ya uchumi ikiwa mbaya kwa nia ya kuwafurahisha wakoloni weusi,uhalifu uongezeka maradufu,watu utafuta namna yeyote ya kulegeza vyuma.
 
Wasipompata dereva mzigo watatoa mrejesho wataufanya nini,au sandakalawe
Mkuu najua hapa tutaishia kulumbana mi ni dereva wa malori kwa hiyo ninacho kwambia nadhani hatuna sababu ya kubishana sana

Ila polisi wamefanya kazi yao japo haijatimia kulingana na majukumu aliyo paswa kujafanya

Naheshimu kazi waliyo Fanya ila ukweli nitasema kuwa hiyo hali ilitokea
 
Hata madereva
hata madereva wanaondesha malori yabebayo wahamiaji haramu hutoa nakutoweka huku jamaa wakigawana maelfu ya dolary!!!!!!!!ni mradi unaolipa mno Aiseee
Hapo ndio utajua kazi huwa inakuwa kazini

Maana kwa uelewa wangu najua haiwezekani dereva kutokomea
 
Back
Top Bottom