Hakuna apendae wanalazimika, ni kawaida uchumi ukifa uhalifu ushamili,Ujanja ujanja sijui utaisha lini
Mkuu najua hapa tutaishia kulumbana mi ni dereva wa malori kwa hiyo ninacho kwambia nadhani hatuna sababu ya kubishana sana
Ila polisi wamefanya kazi yao japo haijatimia kulingana na majukumu aliyo paswa kujafanya
Naheshimu kazi waliyo Fanya ila ukweli nitasema kuwa hiyo hali ilitokea
100%Duuuh
Nimevuta picha dereva alivyo kuwa anakimbia na polisi wanamwangalia tu
Hapo huwa tunaita toa utoweke
Mkuu hii hutengezwa kitu kinaitwa maelezo wezeshiWasipompata dereva mzigo watatoa mrejesho wataufanya nini,au sandakalawe
hata madereva wanaondesha malori yabebayo wahamiaji haramu hutoa nakutoweka huku jamaa wakigawana maelfu ya dolary!!!!!!!!ni mradi unaolipa mno AiseeeDuuuh
Nimevuta picha dereva alivyo kuwa anakimbia na polisi wanamwangalia tu
Hapo huwa tunaita toa utoweke
Hapo ndio utajua kazi huwa inakuwa kaziniHata madereva
hata madereva wanaondesha malori yabebayo wahamiaji haramu hutoa nakutoweka huku jamaa wakigawana maelfu ya dolary!!!!!!!!ni mradi unaolipa mno Aiseee