MBEYA CITY: WAPI WANAUZA KITIMOTO NZURI?

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,783
Jamani kwa wale wakazi wa Mbeya hebu naomba tujuzane ni wapi wanauza ile haramu yenye pua ndefu? Nimeikumbuka sana halafu sijui nitaipata wapi, hebu wenyeji naombeni msaada wa haraka.

Wasalaaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom