Vikao vya Harusi JF-Expert Member Sep 19, 2012 512 140 Dec 21, 2013 #1 Tukutane hapa wadau wote wa mccfc
Vikao vya Harusi JF-Expert Member Sep 19, 2012 512 140 Dec 21, 2013 Thread starter #2 Saad Kipanga.ndiye mchezaji pekee aliyesajiliwa na mccfc
N Ndandalo JF-Expert Member Aug 2, 2013 388 111 Dec 22, 2013 #3 hakuna waliohama mkuu? na kwanini jezi za mbeya city hazipatikani hapa mbeya?
Vikao vya Harusi JF-Expert Member Sep 19, 2012 512 140 Jan 19, 2014 Thread starter #4 Ndandalo said: hakuna waliohama mkuu? na kwanini jezi za mbeya city hazipatikani hapa mbeya? Click to expand... Kama una mda nenda pale halmashauri ya jiji,ukifika getini uliza P.M.U ni wapi,watakupeleka utapata jez zako
Ndandalo said: hakuna waliohama mkuu? na kwanini jezi za mbeya city hazipatikani hapa mbeya? Click to expand... Kama una mda nenda pale halmashauri ya jiji,ukifika getini uliza P.M.U ni wapi,watakupeleka utapata jez zako
Vikao vya Harusi JF-Expert Member Sep 19, 2012 512 140 Jan 26, 2014 Thread starter #5 Mbeya city 1 kagera 0
Mbeya City Spurs I JF-Expert Member Jan 6, 2021 481 1,025 Jan 7, 2021 #6 Niaje watu wangu wa Mbeya City. Naona mtoto tumemtelekeza peke yake miaka sasa.