Mbeya: CHADEMA Kuungurumisha Kongamano la Katiba Mpya siku ya Mei Mosi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,631
218,060
Asalaam Alleykhum , baada ya Salamu hii, Taarifa ikufikie Kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatangaza kufanyika kwa kongamano kubwa la Katiba Mpya Mkoani Mbeya.

Kongamano hilo ambalo nimefanikiwa kuona Majina ya watoa mada ambao ni "WATU WAZITO" , Limepangwa kurindima kwenye ukumbi wa TUGHIMBE tarehe 1/05/2022, ambayo ni siku ya Wafanyakazi Duniani.

Wote Mnakaribishwa.

Ramadhan Kareeem.

UPDATES
========

View attachment 2207527View attachment 2207528View attachment 2207529
 
FB_IMG_1619042485662.jpg
 
Asalaam Alleykhum , baada ya Salamu hii, Taarifa ikufikie Kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatangaza kufanyika kwa kongamano kubwa la Katiba Mpya Mkoani Mbeya.

Kongamano hilo ambalo nimefanikiwa kuona Majina ya watoa mada ambao ni "WATU WAZITO" , Limepangwa kurindima kwenye ukumbi wa TUGHIMBE tarehe 1/05/2022, ambayo ni siku ya Wafanyakazi Duniani.

Wote Mnakaribishwa.

Ramadhan Kareeem.
Habari njema yakuungwa mkono na kila mtanzania
 
Katiba ni jambo la msingi kwa kila Tanzanian mwenye akili timamu naishukuru chadema kwa kujitolea kufanya jambo hili kuwafungua macho watanzania
 
Back
Top Bottom