figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Mfanyakazi mmoja wa kiwanda cha kusagia kokoto ndani ya mji wa Mbeya amefariki dunia baada ya bahati mbaya kutumbukia katika kinu cha kusagia kokoto wakati machine zikiendelea na kazi hatimaye naye kusagwa kama kokoto.
Mmmh!!
Mungu atusaidie
Picha ni mbaya sana hivyo hatuwezi kuzionesha hapa. Ameharibika sana.
R.I.P
Mmmh!!
Mungu atusaidie
Picha ni mbaya sana hivyo hatuwezi kuzionesha hapa. Ameharibika sana.
R.I.P