reg edit
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 402
- 496
Katika kipindi hiki cha mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka inawezekana kabisa mahusiano yako wewe na mpenzi wako hayako vizuri kabisa, inawezekana ikawa ulimkosea au umemkosea hivyo basi kuomba msamaha ni kitu cha muhimu zaidi.
Si vibaya basi wakati unaomba msamaha wimbo wa BRITNEY SPEARS- EVERYTIME ukawa una-play kwa mbaaali o ukampa dedication ya huo wimbo, kama utaweza kumpa lyrics zake itakuwa vizuri zaidi
¤¤MERRY XMAS N HAPPY NEW YEAR¤¤