Mbelwa Kairuki ateuliwa kumrithi January Makamba Ikulu

Status
Not open for further replies.

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: Mawasiliano Ikulu
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bwana Mbelwa Brighton Kairuki kuwa Msaidizi wa Rais – Hotuba.

Taarifa iliyotolewa mjini Dar es Salaam leo, Jumanne, Novemba 30, 2010, na Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemon Luhanjo imesema kuwa uteuzi huo ulianza jana, Jumatatu, Novemba 29, 2010.

Bwana Mbelwa Kairuki anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bwana Januari Makamba, ambaye amechaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Lushoto, Tanga.

Kabla ya hapo, Bwana Kairuki ambaye ni Ofisa Mambo ya Nje, alikuwa Msaidizi wa Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,
DAR ES SALAAM.

30 Novemba, 2010
 
Quick facts about the presisent's new wordsmith

Wasifu mfupi wa chief speech writer mpya wa Rais Kikwete.

Jina: Mbelwa Kairuki
Kazi: Personal Assistant to Waziri wa Mambo ya Nje
Umri: Miaka 35
Background: Anatokea familia ya Hubert Kairuki
Recommended to Ikulu by: Bernard Membe

Akiwa foreign, Mbelwa Kairuki aliwahi kuwa National Secretary for the Helsinki Process.

Mwaka 2000 akiwa ni kijana mdogo wa umri wa miaka 25, Kairuki aliingia kwenye kura maoni kupitia CCM kogombea ubunge jimbo la Kawe. Alishindwa na Ritha Mlaki.

Kwa sasa ni afisa wa serikali, mjumbe wa Board of Trustees wa Hubert Kairuki Memorial Hospital na ni mjasirimali.

Huenda naye akafuata nyayo za January Makamba na kujitosa tena kugombea ubunge mwaka 2015.
 
hivi tatizo la JK ni uwezo wa mwandishi wake wa hotuba au ni uwezo wa JK wa akili na tabia?
 
Quick facts about the presisent's new wordsmith

Wasifu mfupi wa chief speech writer mpya wa Rais Kikwete.

Jina: Mbelwa Kairuki
Kazi: Personal Assistant to Waziri wa Mambo ya Nje
Umri: Miaka 35
Background: Anatokea familia ya Hubert Kairuki
Recommended to Ikulu by: Bernard Membe

Akiwa foreign, Mbelwa Kairuki aliwahi kuwa National Secretary for the Helsinki Process.

Mwaka 2000 akiwa ni kijana mdogo wa umri wa miaka 25, Kairuki aliingia kwenye kura maoni kupitia CCM kogombea ubunge jimbo la Kawe. Alishindwa na Ritha Mlaki.

Kwa sasa ni afisa wa serikali, mjumbe wa Board of Trustees wa Hubert Kairuki Memorial Hospital na ni mjasirimali.

Huenda naye akafuata nyayo za January Makamba na kujitosa tena kugombea ubunge mwaka 2015.

The informer, nijuavyo mimi Private Assistant wa Waziri Membe ni ndugu anayeitwa James Bwana. Hata hivyo Mbelwa alikuwa ni moja kati ya washauri wa Membe.

Binafsi nimjuavyo Mbelwa ni kijana ambaye ni Mzalendo na ameweka sana mbele maslahi ya Taifa. Nimedeal naye baadhi ya issues haza zinazohusu Diaspora, jamaa ana uwezo wa kuona fursa mbalimbali na kujenga hoja za nguvu.

Nakumbuka 2008 ali-link up na network kubwa sana ya diaspora kwa ajili ya kufanikisha mabo fulani ya kitaifa.

Ana uwezo wa kuandika mawazo binafsi (siyo copy and paste) na very original ambayo kama yakifanyiwa kazi yanaweza yakaleta maendeleo.

Nikimlinganisha na January ambaye kazi zake zilionekan kupitia Hotuba za JK, Mbelwa ni Kichwa. Ni kijana asiye na majivuno na aliyeacha milango wazi kwa wote.

Hongera sana Mbelwa. Kaza buti Mkuu. Tuko pamoja. Endeleza libeneke.
 
SuperMan

Kweli wamjua huyu kijana amemaliza Masters yake nadhani mwaka jana UK! Jamaa pouwa kwa kweli hana makuu ni msikivu na mjenga hoja mzuri mch nimewahi rubbing shoulders with this young man

Go go go Mberwa
 
Acheni chuki. Good for him and hopefully he will do a great job. Januari quoted Nixon in one of jk speeches..lol
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom