Halisi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2007
- 2,802
- 613
UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: Mawasiliano Ikulu
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENTS OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bwana Mbelwa Brighton Kairuki kuwa Msaidizi wa Rais Hotuba.
Taarifa iliyotolewa mjini Dar es Salaam leo, Jumanne, Novemba 30, 2010, na Katibu Mkuu Kiongozi, Phillemon Luhanjo imesema kuwa uteuzi huo ulianza jana, Jumatatu, Novemba 29, 2010.
Bwana Mbelwa Kairuki anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bwana Januari Makamba, ambaye amechaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, Lushoto, Tanga.
Kabla ya hapo, Bwana Kairuki ambaye ni Ofisa Mambo ya Nje, alikuwa Msaidizi wa Waziri wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
30 Novemba, 2010