Mbelwa Kairuki ateuliwa kumrithi January Makamba Ikulu

Status
Not open for further replies.
SuperMan

Kweli wamjua huyu kijana amemaliza Masters yake nadhani mwaka jana UK! Jamaa pouwa kwa kweli hana makuu ni msikivu na mjenga hoja mzuri mch nimewahi rubbing shoulders with this young man

Go go go Mberwa

Ni kweli kabisa mpaka February 2010 wakati nawasiliana naye alikuwa University of Hull, UK.

Let us hope Wakulu watamtumia vizuri.
 
Kumbe January ndo alikua anamuandikia Kikwete hotuba. Ndio maana zilikua mbovu kama mtu hajaenda shule
 
Asante kwa taarifa, hivi unataka kuniambia dogo wa bumbuli kapanda chati au kashuka. mi nahisi nafasi ya usaidizi wa raisi ni nzuri zaidi ukizingatia Mkwere anavyopenda kusafiri. Sasa dogo sasa hovi itakuwa ni Dar - Bumbuli - Dar. Ofcourse angepata uwaziri ingekuwa mambo mengine.
 
Ukisikia kuna mambo ya ngekewa ndiyo haya yanayomfuata mtani wangu Kairuki, mkewe amepata ubunge wa bwerere wa viti maalumu thithiemu, mzee amepewa uandishi wa hotuba za rais.

Je hapa hakuna ka undugunization hapa kweli?

Lakini hata hivyo hongera ndugu yangu, bila shaka nyota ndiyo inaanza kuiwakia familia taratibu
 
.... muulize Membe!!
 
Ntemi Kazwile, kijana deserves the best, sio nyota ndio imeanza kuiwakia familia, kijana anatoka familia bora, ambapo angeamua kufanya kazi ndani ya kitegauchumi cha familia, angelipwa ten times better, hivyo alipoingia serikali, naamini aliingia with determination and for the love of it na sio for the reward.

Nilimkubali jamaa ni jembe, wakati wa vikao vya UN GA, jamaa alikuwa stationed NW kipindi chote akinyoonya mambo, huku akiishi simple life pale kwa Mama K. Mt. Vernon. Anatoka high profile family and yet anaishi down to earth life, hakujisikia yuko juu, sasa ndio kapandishwa juu kiukweli ukweli.

Apewe hongera zake.
 
Wife akiwa anapata vyeo hasa kwa hii serikali yetu lazima ujiulize mara 2
 
Ntemi Kazwile, kijana deserves the best, sio nyota ndio imeanza kuiwakia familia, kijana anatoka familia bora, ambapo angeamua kufanya kazi ndani ya kitegauchumi cha familia, angelipwa ten times better, hivyo alipoingia serikali, naamini aliingia with determination and for the love of it na sio for the reward.

Nilimkubali jamaa ni jembe, wakati wa vikao vya UN GA, jamaa alikuwa stationed NW kipindi chote akinyoonya mambo, huku akiishi simple life pale kwa Mama K. Mt. Vernon. Anatoka high profile family and yet anaishi down to earth life, hakujisikia yuko juu, sasa ndio kapandishwa juu kiukweli ukweli.

Apewe hongera zake.

Kwa Mbelwa sina shaka - Hongera

Tatizo langu kubwa ni Angela! - Basi.
 
ujinga. Ningekuwa na uwezo ningelipuwa ofs za vigogo. Kwan hamna wa2 wengne? Vyeo kupeana peana kiholela@
 
Pasco jr

Utalipua ofisi ngapi? ukimaliza za CCM itabidi uhamie za CHADEMA, ............sijui labda utalazimika kwenda na CUF pia.
 
Ukisikia kuna mambo ya ngekewa ndiyo haya yanayomfuata mtani wangu Kairuki, mkewe amepata ubunge wa bwerere wa viti maalumu thithiemu, mzee amepewa uandishi wa hotuba za rais.

Je hapa hakuna ka undugunization hapa kweli?

Lakini hata hivyo hongera ndugu yangu, bila shaka nyota ndiyo inaanza kuiwakia familia taratibu

Mbona mambo kama hayo hata huku kwetu yapo kama huamini muulize ndesamburo au kihwelu au owenya ndio utaamini
 
Ntemi Kazwile, kijana deserves the best, sio nyota ndio imeanza kuiwakia familia, kijana anatoka familia bora, ambapo angeamua kufanya kazi ndani ya kitegauchumi cha familia, angelipwa ten times better, hivyo alipoingia serikali, naamini aliingia with determination and for the love of it na sio for the reward.

Nilimkubali jamaa ni jembe, wakati wa vikao vya UN GA, jamaa alikuwa stationed NW kipindi chote akinyoonya mambo, huku akiishi simple life pale kwa Mama K. Mt. Vernon. Anatoka high profile family and yet anaishi down to earth life, hakujisikia yuko juu, sasa ndio kapandishwa juu kiukweli ukweli.

Apewe hongera zake.

Mkuu Pasco, Ndio maana muanzilishi wa thread anafikiri kuna chembechembe ya nepotism hapo. Ungesema jamaa ni mtoto wa mkulima aliyeekwenda shule tu ingeweza kueleweka lakini unapotaja sifa kuwa family yake ni high profile kwa nini hio isiwe pengine ndio sababu ya ghafla yeye kuwa msaidizi wa raisi Ikulu na mkewe kuwa mbunge wa Viti maalumu???
 
Ntemi Kazwile, kijana deserves the best, sio nyota ndio imeanza kuiwakia familia, kijana anatoka familia bora, ambapo angeamua kufanya kazi ndani ya kitegauchumi cha familia, angelipwa ten times better, hivyo alipoingia serikali, naamini aliingia with determination and for the love of it na sio for the reward.

Nilimkubali jamaa ni jembe, wakati wa vikao vya UN GA, jamaa alikuwa stationed NW kipindi chote akinyoonya mambo, huku akiishi simple life pale kwa Mama K. Mt. Vernon. Anatoka high profile family and yet anaishi down to earth life, hakujisikia yuko juu, sasa ndio kapandishwa juu kiukweli ukweli.

Apewe hongera zake.
Thanks Pasco ni kweli he is down to earth... Lakini nadhani tunachoangalia hapa ni technical capacity yake na si amekaa kwa nani sijui babake alikua nani au kwao angelipwa ngapi

Naomba nizungumzie uwezo wake kulingana na nafasi aliyopewa; nimepata habari kwamba he is excellent technically na ni mwanasheria na elimu ya juu pia ya management, he is visionary and calm

I hope this will add to his down to earth qialities alizosema pasco
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom