Mbegu za kiume zina madhara kumezwa?

Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
966
Habari wanaJF?,nitangulize shukran zangu kwa wanajamvi wote kwa michango yenu yenye kuelimisha sana.

Kwangu mimi JF ni zaidi ya darasa tena la bure kbs...

Ok mi naomba kusaidia kujua madhara/na faida atakazopata mtu atakayemeza mbegu za kiume.
 
jaman yeye ndo anapenda kumeza hvyo napenda kujua kama ina madhara ili nimzuie kuepuka madhara hayo
 
Zina madhara sio nzuri kwa afya aisee...macancer ya shingo,fungus za midomo pia mwambie aache izo mambo....
 
Km afya yako saf hakuna madhara, ni km kumeza makohoz, infact hiyo protein haiweiz kuwa absorved mwilin
 
Km afya yako saf hakuna madhara, ni km kumeza makohoz, infact hiyo protein haiweiz kuwa absorved mwilin
kama afya yako ni mgogoro kuna uwezekano wa kumuambukiza hepatitis,kama huna tatizo(baada ya kuchekiwa) na wote mnapenda basi awe anazikusanya mdomoni ukimaliza anatema na kusukutua na mouthwash.Nawe pia unalamba chumvi ? sio mambo ya utumwa ?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom