Mbegu za kiume zina athari kwa mtoto tumboni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbegu za kiume zina athari kwa mtoto tumboni?

Discussion in 'JF Doctor' started by GreenCity, Sep 17, 2012.

 1. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,667
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  Kuna usemi kwamba, mama mjamzito anapofanya mapenzi bila kinga na kuruhusu mbegu za kiume kuingia, husababisha mtoto kuzaliwa na elements za manii hasa maeneo ya kichwa(kama mba)! Kama ni kweli, je kuna athari kiafya kwa mtoto!
   
 2. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 820
  Trophy Points: 280
  Hakuna athari yeyote kwa mama au mtoto....... Hizo sperms kwanza haziwezi kumfikia mtoto hata kidogo, ni uzushi wa mitaani tuu
   
 3. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kuna ndugu yetu mmoja wa kiume alikuja kutembea Ushongo
  akamwacha mke wake shambani. Mke wake alikua ni mjamzito.
  Then zilipofika siku za mwisho za uzito huo, akasema anarudi
  Mama akamwambia: go wasy on her, si unajua siku za mwisho?

  Yeye akajibu: hivi ndio naenda kuweka nywele na kucha sasa
  Mi nikashangaa, ila nilikuja kuelewa baadae sana what he meant:
  Mtoto haingii kwa siku moja. Mwanzo unaweka kichwa na kifua
  Ukiendelea ku-do unaweka mikono na miguu, pua, vidole, sikio
  and mwisho kabisa unamalizia kwa nywele kucha sasa (accessories)

  Maybe not in that order, but that was the idea he has...nilishangaa
  This, from an anthropological point of view has a strong symbolism:
  It is the relation that your father has to your mother that makes you
  If your father and your mother don't "get along" you wouldn't be.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  zinamrutubisha sana mtoto ..keep it up endeleeeaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 5. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,667
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  asante kwa elimu!
   
 6. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,667
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  mwanaumeeeeee!
   
 7. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,667
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  nilijua tu we lazima utupie kituko hapa!
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Mtoto anakuwa kwenye mfuko wake maalumu, ambao una maji (amniotic fluid) kwa ajili ya kumkinga physically. Sperms zikiingia ukeni hazina pa kuzunguka zinarudi. Huo mfuko wa mtoto ndio hupasuka na maji yote kumwagika mara uchungu unapoanza. Na mfuko hutola kama kondo la nyuma. Hivyo baba wewe mfanyishe mkeo mazoezi kwa raha zenu.
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  afu nawe na mambo yako ya baioroji...ukimkandamiza maiwaifu lazima magundi yanakaa kwenye kichwa cha mtoto ..we unadhani watu wenye vipara vinakuja kwa ajili gani..si ni mashahawa hayo ooohh
   
 10. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Leo tutashuhudia uvumbuzi wa Bailoji mpya kabisa
   
 11. ha ha ha

  ha ha ha JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 641
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umu hadi wagumba wanauliza maswali ya uzazi.
   
 12. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,667
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  kwani wewe mgumba?
   
 13. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #13
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Daktari aliniambia nijitahidi kila siku hasa zile siku za mwisho inasaidia kutanua njia, hii habari ya kusema mara katoka na condom kichwani ni uongo mtupu
   
 14. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Why? ushaniona mimi ndio wavituko eh?
   
 15. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,667
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  mara ya kwanza nlipoona ID yako si nkajua, wewe na mambo ya aina hii bado upo gizani kumbe i waz wrong! Posts zako duuuuuu!!!!!
   
 16. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  duh hii hatari,jf bana
   
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hapo unanisemea uongo mchana kweupe.
  Leta ushahidi wa picha na link au retract plz
  Ngoja niite ndugu zangu wakusute sasa hivi
  Uncle kaize na Anti AshaDii, please help
  Huyu mtu ana-doubt u-mwali wangu naona
  Kongosho, njoo umwambie mi nipo gizani
  Hiyo taa nilionea wapi? aliniwashia yeye sasa?
  Ambitious, my roommate, you are a witness
  Usha niona nikija na mtu hapo home in a year?
   
 18. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Niliyemuona akiingia ni shosti wako Erotica tu ila mwingine katu sijawahi kuona ni mimi na wewe tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Jamani Mwali hili sio jukwaa la kusutana, msamehe bure.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. GreenCity

  GreenCity JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 4,667
  Likes Received: 2,153
  Trophy Points: 280
  haya sasa! Yan kama hawa ndo mashahidi wako basi ni noummeeer! Manake KONGOSHO ni well matured, KAIZA as well, na huyo alietajwa "EROTICA" kuingia room kwako Ndo mwili wangu umepata ganzi kabisaaa! Manake ni mwalimu wa ROMANCE huyo! Nadhan lazima wamekutoa gizani hao!
   
Loading...