Mbegu za Hybrid za Nyanya na Watermelon

watermelon ni wazi pia au gh?
unatoa na utaalam au unauza mbegu tu?
 
0717295415
Npo kilwa nahitaji utaalam wa enelo la kulima watermelon
na je msimu huu wa mvua itakubali?
 
Ukipata mbegu tunakupa Na utaalamu pia. Angalia video ya shamba langu hapo juu upate picha ya ni jinsi gani mbegu hz zina perfom
 
mbegu 1000 zinauzwa zaidi ya laki moja???????! mmmmmmhh!!!?

Ya hizo ndio bei zake. Pitia hiyo video ya shamba lanngu hapo juuu uone ubora wa mbegu zenyewe. Kiushauri km we za bei ndogo unadhani zinakufaa wewe haina shida kabisa. kila mtu analima na kununua mbegu kulingana na uwezo wake na idadi ya mazao anayotaka pata. Unashangaa bei hiyo. kuna makampuni yanayoaminika kabisa wanauza mbegu hadi za Tsh 250,000 kipaketi
 
Back
Top Bottom