Mbegu ya Wasema Ukweli haifi ng'o!

MAKA Jr

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
256
185
Kama alivyosema Ngugi wa Thiong'o kwenye Riwaya yake tamu ya 'A Grain of Wheat'; "Mbegu ya wasema ukweli haifi hata ikipandwa kwenye michongoma itaota tu, na kadri zinavyopandwa nyingi ndio kusema zitaota na kuzaa kwa wingi".
Wakati mwingine najiuliza hivi kweli huwa tunasoma hizi tunu?
 
Back
Top Bottom