Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,879
- 4,881
Wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Naomba kuuliza kwa wajuzi wa mambo... Nina shamba langu maeneo ya kisarawe mkoa wa pwani nimejipanga mwaka huu nilime muhogo.
Naomba kuuliza yafuatayo
1. Ni mbegu gani nzuri ambayo ninaweza kuvuna si zaidi ya miezi sita na naweza kuipata wapi?
2. Ni wakati gani mzuri wa kupanda ili niendane na msimu wa mvua?
Nawasilisha
Naomba kuuliza yafuatayo
1. Ni mbegu gani nzuri ambayo ninaweza kuvuna si zaidi ya miezi sita na naweza kuipata wapi?
2. Ni wakati gani mzuri wa kupanda ili niendane na msimu wa mvua?
Nawasilisha