Mbegu bora ya mbuzi wa nyama

Mimi nina mbegu hii.
100926.jpg
 
Kusema kweli nimeshangaa na mtu huyu mjinga anahitaji kuelimishwa kiasi gani. Sisi tunajadili mambo serious ya maisha yetu halafu mtu anakuja na picha ya ku download mtandaoni? Kama unaona jambo halikuhusu chukua muda wako fanya mambo yako waache wenye nia zao wasonge mbele.
 
Habari ya pacha watatu siwezi kuisemea lakini kwenye ranchi ya serikali ngerengere wanambegu nzuri ya mbuzi wa nyama wanaitwa boa sikumbuki vizuri lakini nahisi dume ni 200,000 na jike ni 150,000,fuatilia upate uhalisia.
 
Naomba kujua ni wapi nitapata mbegu bora ya mbuzi wa nyama especially wanao zaa pacha tatu( triple)

..Jaribu kuwasiliana na kituo cha Taliri [ Tanzania Livestock Research Institute ]kilicho karibu na wewe.

..Vituo vya Taliri " al maarufu " kwa uzalishaji wa mbuzi ni vile vilivyoko Mpwapwa na Kongwa.

..Na mbuzi wanaozalishwa na vituo hivyo ni mbuzi aliyeboreshwa aina ya blended/malya.

..Kuhusu mbuzi huyo kama anazaa mapacha, au la, nakushauri uwatafute wataalamu walioko Kongwa au Mpwapwa.

..Unaweza kuwaandikia Taliri Mpwapwa kwa kutumia mpwapwa@taliri.go.tz , na Kongwa kwa kutumia kongwa@taliri.go.tz, pia namba za Taliri makao makuu ni +255 713 483 126 / +255 786 191 049

NB:

..usisahau kutuletea mrejesho wa hatua kwa hatua kuhusu safari yako ya kufuga mbuzi wa nyama.

..
 
Maelezo yamejitosheleza haya...asante.
 
Akhsante Sana mkuu npo ktk safari
Feedback n mhimu....
We're going on the top#
 
Mbuzi wa Nyama wapo wa aina nyingi , lakini iliyo maarufu kwetu ni Galla/Isiolo au Boer. Sasa sijui wewe unataka kufuga yupi kati ya hao.
Chakwanza ningekushauri ujue aina ya Mbuzi unaetaka kufuga, Pili uangalie mbegu zilizo bora katika uzalishaji, Tatu maeneo ya ufugaji hasa malisho na ukaribu na wakulima ili isikuletee usumbufu wakati wa uchungaji. Nne ujue uantaka kufuga ktk muundo gani kati ya kuwalishia ndani au kuwachunga mchana na usiku wana rudi bomani,
Hapa naamini utaweza kujuwa mahala pa kuanzia .
 
Back
Top Bottom