Mbege ni kinywaji bora kabisa duniani, siwezi acha hata kwa mtutu

Komoni mpaka bujeeeeee!!! kakaiiiii yes kakaiiiii.

Pisi kali zinakunywa mbege nasikia inaongeza maziwa kwa mtoto!! Kitaani naona wamama wanapitisha kwenye ndoo wanauza kwenye machupa ya lita moja.
 
Siwezi acha mbege kwa kweli

Kindo kya mbeke ndao

Yaani mbege acha tu mbe

Hii kitu ni

Kinywaji amaizing africa hakuna kama mbege

Kinywaji yenye virutubisho kama vyote

Kinywaji ukinywa lazima uwe na IQ nyingi

Mbege kama mbege

Imefika wakati serikali na watanzania kuitambua mbege kama kinywaji rasmi cha taifa
View attachment 1659079View attachment 1659080View attachment 1659081View attachment 1659082View attachment 1659083View attachment 1659084View attachment 1659085View attachment 1659086
Aina nyingine ya ushamba
 
Ukiachana na Mbege Kwanza.
Unanamba ya hao mamanzi
 
Mbege nini wewe kuna kyindi ,kimpumu, komoni huko Mbeya hiyo ikipungua unaweka maji moto tu inarudi brand new dakika,pia lile pipa letu mtu zaidi 20 kuchangia imoo enzi hizo tukitumia straw za miti ya ulanzi ndefuu.mama muuza ye analeta maji moto tu akiwekaa mle mnaanza upya kulewa,mbege si togwa tu,
 
Siwezi acha mbege kwa kweli

Kindo kya mbeke ndao

Yaani mbege acha tu mbe

Hii kitu ni

Kinywaji amaizing africa hakuna kama mbege

Kinywaji yenye virutubisho kama vyote

Kinywaji ukinywa lazima uwe na IQ nyingi

Mbege kama mbege

Imefika wakati serikali na watanzania kuitambua mbege kama kinywaji rasmi cha taifa
View attachment 1659079View attachment 1659080View attachment 1659081View attachment 1659082View attachment 1659083View attachment 1659084View attachment 1659085View attachment 1659086
Mbege ni nembo ya Ufipa!
 
Ivi ni lazima inyweke na makopo ya chooni ndo inakubalika.
Pia ni nini iyo mbege formula yake please. Ikiwezekana ikauzwe hata ulaya.
Sema unywaji wake kwa kopo LA chuoni sio kabisa.
Bora hata Ingekuwa chombo cha asili kama vile vibuyu vya wamasai vya kuhifadhia maziwa sawa.
Pumbafu
 
Mbege nini wewe kuna kyindi ,kimpumu, komoni huko Mbeya hiyo ikipungua unaweka maji moto tu inarudi brand new dakika,pia lile pipa letu mtu zaidi 20 kuchangia imoo enzi hizo tukitumia straw za miti ya ulanzi ndefuu.mama muuza ye analeta maji moto tu akiwekaa mle mnaanza upya kulewa,mbege si togwa tu,
Hahahahahahahaa Mkuu umetisha sana hiyo komoni ni noma sana ikikaa kichwani inaweza kukuchezesha masaa hata 20 haitoki kichwani 😂😂😂
 
Watu wa mikoani mna mbwembwe!
Hongera mkuu kwa kuthamini chakula na kinywaji Cha asili
 
Hahahahahahahaa Mkuu umetisha sana hiyo komoni ni noma sana ikikaa kichwani inaweza kukuchezesha masaa hata 20 haitoki kichwani 😂😂😂
Ile maji moto tu ukinywa unalewa tena km umeanza,mjomba alipigana vita mpaka ujerumani namkumbuka alikaa kwetu 80s ye alikua mwanachama akienda kilabuni kuzitwanga ndo basi tena siku 3-4 tutaonana.
Alikua mcheshi sana Mr bean anasubiri akianza kukupa story zake za vita na visa vyake utacheka ufe 😂😂😂,halafu msanii tu akienda kwenye ubwii alikua anawakopa tu🤣🤣🤣
 
Kibosho leo kuna mwaliko mbege viondi 6 vipo tiari na ng'ombe dume anaangushwa karibuni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom