Mbege ni kinywaji bora kabisa duniani, siwezi acha hata kwa mtutu

Nyumbani tunapika, kwa bibi wanapika,wajomba wanapika,jirani wanapika, kila mahali


Halafu unaongea utupolo wa kuniuliza mazingira yake unauliza pilipili kwa wahindi?
Ni wivu tu. Wengine ndio wanaokunywa taptapu. Mbege haipo kwenye kundi hilo. Mbege haifananishwi na mambo ya kijinga bwana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom