Mbawa jeuri zifunikazo maovu Tanzania

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
32,071
2,000
Hizi mbawa zina jeuri ya kuficha uvundo uliooza wa uvunjifu wa katiba kwa sababu tu hakuna kushtakiwa.

Huu ni ushahidi wa wazi kabisa wa athari za kutunga sheria za ovyo katika nchi, kama hii sheria ya kuwapa kinga ya kutokushtakiwa baadhi ya viongozi.

Sasa haya anayoyafanya Speaker ni matokeo ya kinga hizi.
449876600.jpg
09876666.jpg
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,560
2,000
Anzeni na Bi Mkubwa aliyevuruga mechi ya juzi. Hiyo haina tofauti na kuwahujumu wananchi pesa zao mchana kweupe, tena baada ya mtetezi wao kuondoka. Shame!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Similar Discussions

Top Bottom