Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,181
- 79,364
- Thread starter
- #21
Mwanafunzi akifeli kuna utaratibu wa ku-risit exam na si kusahihisha tena! ukipata zero unajiandikisha kama private candidate mwaka ujao una-resit exam huo ndio ustaarabu tulio nao since immemorial na unaokubalika kwa ustawi wa taifa bora! sasa wewe na Mbatia mnataka kutufunza nini? au mambo ya "pasu kwa pasu" bin "huruma" mpaka kwenye matokeo ya mitihani? heheh...wahenga walisema na asiyefanya kazi na asile!You have suggested something good and you have revived thread
Geza Ulole! Jaribu kuamini kuwa binadamu wameotofautiana, na kila mmoja ana umuhimu wake katika lolote lile analolifanya akiwa na malengo mazuri tu.
Bahati mbaya mawazo yako wewe hayajalenga kusaidia wanafunzi waliopita, yanalenga kusaidia wanafunzi wajao, hapa umepishana na Mbatia unayemwona mpumbavu kwa mbali sana, wazazi wanalia watoto wanalia, wengine wanajiua, whata is your solution my dear????
secondly, which is more deep, ukisoma maelezo ya member wengi hapa, it seems we are living in that very bad cancer that final exams is an answer and only assessment tools for good or bad students!
IN OTHER WORDS..fikiria kidogo..HAIWEZEKANI MWANAFUNZI AKAE MIAKA MINNE DARASANI HALAFU APATE ZIRO KUWA AMEISHIA DARASA LA SABA! there is a very serious in our system , ambayo wewe kwa akili zako nyingi haulioni...yaani huyu mtu hajui hata bunsen burner, hajui tripod stand, hajui kuwa hii ni log na hii ni matrix!!! inachekesha sana, kaa chini waza hili, at least you can remedy situation
next time hata kama Mbatia au yeyote akikosea SEE THAT IS THE OPORTUNITY FOR BIG DISCUSSION