Mbatia na pumba zake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbatia na pumba zake!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Jan 31, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,050
  Likes Received: 3,957
  Trophy Points: 280
  NCCR calls for fresh exam marking
  By DAILY NEWS Reporter, 30th January 2011 @ 15:00, Total Comments: 0, Hits: 56

  NCCR-Mageuzi has requested the government to critically examine the just released Form Four examination results and look into possibilities to have the examination papers re-marked and graded.

  Addressing a press conference in Dar es Salaam on Sunday, NCCR-Mageuzi National Chairman, Mr James Mbatia said massive failure at the rate of more than 50 per cent was catastrophic and unacceptable.

  "It is time the government sought advice from religious denominations, particularly the Roman Catholic Church, on teaching methodology and strategies that made their students perform impressively in national examinations," Mr Mbatia suggested.

  However, the political party leader laid blame on the government for allowing the education gap to widen between children from well-to-do families and those from low-income brackets.

  "The difference is obvious and was reflected in the just announced examination results. It is disturbing to note that only 11.5 per cent of the 352,840 students who took National Form Four Examinations last October passed," he said.

  The National Examinations Council of Tanzania last week announced that 40,388 students out of 352,840 attained between First and Third Division results and 310,826, equivalent to 88.5 per cent had Fourth Division and failure.

  "In serious matters like education, the government should give serious answers as well. We do know, education is a treasure that must be handled with utmost care. A strong education base paves the way for higher levels of success," Mbatia observed.

  He queried the training of a secondary school teacher for hardly three months, who is then 'forced' to teach as a professional.

  He also cautioned on a looming danger if the host of Form Four leavers who did not qualify for further studies was left alone to fight for their survival. "They need to be assisted. Let the examination papers be corrected again to avert confusion," he said.

  According to the politician, one of the shortcomings, in the current education system, was lack of consistency, saying newly appointed education ministers introduced changes which might not even be of benefit to the nation.

  Mr Mbatia declared his intention to submit a letter to the Prime Minister to express his views and share possible solutions.
  Daily News | NCCR calls for fresh exam marking

  MY TAKE:
  Angalieni huu upupu mwingine wa Mbatia! kusahihisha tena mitihani maana yake ni kushusha passing marks na sidhani kama inasaidia Taifa hili katika kutengeneza competent citizens ambao wataweza kuhimili soko la EAC! Wanasiasa wakae mbali na elimu aliyeondoa mitihani ya Form II akili zake si nzuri! Kinachotakiwa kufanyika hapa ni kuanzisha utaratibu wa kuzipatia shule vitendea kazi na walimu wawe wa kutosha na walipwe vizuri na wapigwe msasa kwenye stadi na mbinu za ufundishaji na wasambazwe katika hizo shule zilizofanya vibaya!
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mbatia ameingiwa na kichaa au anatumia madawa ya kulevya... he is deteriorating vibaya sana. Sijui ukisahihisha upya pepa ya mtu aliyepata 20% unaweza kuifikisha 40%?

  Tatizo ni zaidi mtihani, tatizo ni shule na sera na miongozo, vimeshindwa kukidhi mahitaji ya rasilimali... THANKS TO NECTA KWA KUSAIHISHA MITIHANI INAVYOSTAHILI


  ILA HUKAWII KUSIKIA WANASIASA WANAINGILIA KATI NA KILA MWANAFUNZI KUONGEZEWA MAKSI ISHIRINI KWA KILA SOMO
   
 3. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Jamaa atakuwa anatumia madawa ya kulevya, yuko out of point.
   
 4. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nccr mageuzi chairman
   
 5. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ... hivi yeye alipata points ngapi Kilimanjaro boys... maana tafsiri zake zaumiza mbavu licha ya pumba. Ati:
  syllabus = muhtasari
  curricullum hakuna Tanzania, na curricullum = ???
  watu wengine si wafunge tu!
   
 6. M

  MushyNoel Senior Member

  #6
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Moja ya wanasiasa wanaoniokera ni huyu bwana.Niliwai kumsikiliza mwaka 2000 akiwa anagombea ubunge wa vunjo.Nilimwona mwanasiasa wa ukweli kabisa na nikaona huenda ana future.Kumbe ndio siasa ilivyo.Amekubali kununuliwa na sasa mara nyingi anachoongea kinakera kwani kina malengo mabaya na/au kusaidia mafisadi.Hafai kuwa kiongozi.
   
 7. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Geza Ulole

  Mbatia ametumia uhuru wake wa kujieleza kuwasilisha mawazo yake. Wewe kama una mawazo mbadala wasilisha ili wadau tunayachangie badala ya kuita ya mwenzio kuwa ni pumba. Watanzania wengi tuna maumivu na haya matokea kwani yamewaweka watoto/wadogo zetu katika hali ambayo hawawezi kusaidika tena. Naomba ufahamu baadhi ya wahitimu wa shule za kata walichaguliwa katika mchujo wa pili (second selection) na baadhi yao tayari walikuwa wameshapelekwa shule za binafsi. Uchungu wa wazazi ni kuwa watoto wao walipochaguliwa katika mchujo wa pili walifurahi sana kwamba gharama za kusomesha watoto wao zimepungua....matokeo yake watoto hata sifa za kusomea ualimu/uaskari hawana.
   
 8. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Jamani huyu hajielewi, chama anachokiongoza kimepoteza dira labda anataka naye japo ajadiliwe. Indeed very stupid Mbatia... Akiona siasa inamshinda namshauri arejee CCM apewe naye uenezi na propaganda atafaa sana, awe msaidizi wa Tambwe Hiza. Wanafanana kwa pumba.. upinzani unataka uelewa wa mambo CCM ndio kuna mizigo ajiunge for his future.
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Jadili hoja alizotoa Mbatia.......na si yeye. Wewe matokeo ya Form IV umeyapokea vipi?
   
 10. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi Mbatia alifaulu kwa kiasi gani katika mtihani wa Ubunge pale Kawe? Mbona hatujasikia ukiomba kura zihesabiwe upya? Unategemeaje wanafunzi washinde wakati mwaka 2010 ulijaa migomo ya chi chini ya walimu? Poor Mbatia!!
   
 11. k

  kizazi kipya JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Muda mwingine inakuwa kama usumbufu kwa waandishi wa habari,hawa wanasiasa wetu wasiitishe press conference kama hawana jipya.Ni kutafuta cheap popularity
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa bado yuko hai kisiasa? achaneni naye!
   
 13. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 454
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni bora angesema serikali iwarudishe darasani wale wote waliofeli na gharama ziwe juu ya serikali,na wakasoma kwa mwaka huu mzima na mwishowe warudie mtihani,maana idadi inatisha vinginevyo serikali ndiyo itakua imefeli na sio wanafunzi
   
 14. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #14
  Jan 31, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 324
  Trophy Points: 180
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mbatia anataka aliyepata 5% aandikiwe 50% ili taifa liwaje?anataka kuficha tatizo la kwamba siasa ya akina MAKAMBA imeporomosha elimu ili CCM isiumbuke ndio maana huyu jamaa wanadai ni mCCM. angekuwa RAIS angechakacha matokeo. KAMA TAIFA NI LAZIMA TUIJUE HALI HALISI NA SIO DATA ZA UONGOUONGO. elim sio jambo la kuchezea kama unavyoweza kuichezea kamati kuu ya NCCR.jamaa hana upeo ndio maana NCCR kimedorora.(wabunge wake walipatikana as effect of vuguvugu aliloliwasha dokta slaa nchi nzima na sio sera za NCCR)
   
 16. l

  limited JF-Expert Member

  #16
  Jan 31, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mie simuelewi bwana mbatia kusahihisha tena mitihani kutaleta faida gani kukuza elimu? Tukigrade tena halafu na kidato cha sita tufanye tena? Mie sioni point yake huyu bwana
   
 17. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #17
  Jan 31, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili ni tatizo la baadhi ya wanasiasa wanaosuburi matukio wadandie hoja, siasa za "fisi design". Yako mambo mengi ya msingi ambayo hayaendi sawa kwa ustawi wa jamii yetu lakini hawayasimamii na ndiyo maana siasa inaonekana kana kwamba kitu kisicho na maana yoyote hasa kwa baadhi ya watu wa maeneo ya vijijini.
   
 18. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #18
  Jan 31, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ndugu swala si kufaulu tu hata kama kijana kashindwa mtihani. Swala la mitihani si la kisiasa: Kushindwa ni kushindwa na kufaulu ni kufaulu. Kitaalamu ni kuwa wanafunzi katika shule zatu nyingi hawakufundishwa, hakukuwa na walimu na vifaa vya kutosha. Kwa hiyo ni mambo ya kisera na kiutekelezaji. Upanuzi wa elimu ya msingi na sekondari ulifanywa kisiasa sawa na enzi za UPE 1970s-watawala wetu huwa hawajifunzi kwa makosa waliyoshuhudia awali. Sasa wazazi na wanafunzi ni lazima kuibana serikali kuboresha shule zao
   
 19. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #19
  Jan 31, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,564
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
   
 20. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #20
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mbatia hakuwa na maono ya nini matokeo ya shule za kata mwalimu mmoja madarasa mawili!!! hayo ndio matunda ya kazi ya CCM kwa miaka 5 iliyopita, mitano mingine tusubiri matokeo; Mbati jitolee uwe unafundisha mashuleni maana hata siasa imekushinda, hamna waalimu huko hamna tija huko, hamna maabara wala vifaa vya kufundishia.
   
Loading...