Mbatia mwiba wa mshikamano bungeni kati ya CHADEMA na NCCR

kwa sasa NCCR inakuwa na wabunge 5 wafuatao:
1. mhe. Machali
2. mhe. Agripina
3. mhe. Felix Mkosamali wa Muhambwe
4. mhe. David Kafulila
5. mhe. James Mbatia (mteule)

kwa vyoyote vile hii itawapa taabu sana wabunge wa NCCR ambao walijipambanua kuiunga mkono kama ya rasmi ya upinzani bungeni na wakati huo huo watakuwa wakihitaji kutomuudhi m/kiti wao ambao ni mteule wa serikali (rais)
 
Mi naona mbatia ndo anajichimbia kaburi la milele

umemuona mtani wako eee,,,,,huku uparen kuna tetyesi kuwa zile kelee zenu kuwa jamaa ooo ni punga ooo ni maagizo ya cameroon ndiyo yamesababisha mchana ule ateuliwe mbunge mwingine na msela akafutwa uwaziri wa maji,,,ndo maghembe akabaki,,,tehetehe,,wapare na utani wao bwana,,eti inabidi ajiuzulu ili taifa lipone,,,,,,,,kashfa
 
Back
Top Bottom