Mbatia aumbuka Arusha, wananchi aliowakusanya walalamikia malipo

Labda alipungukiwa pesa,,next time ajitahidi kwenda na mabox yamejaa hela,,kumkatisha bodaboda mda wa kufanya kazi bila kumlipa,sio vizuri
 
~kushoto Mbatia ananunua wapinzani
~kulia Mbowe anashambuliwa
~kati CCM anabadili katiba
~kutoka majuu Lissu anagombea urais.!?
 
Weka clip ya hao wanaodai hiyo posho walioahidiwa. Vinginevyo we ni muongo. Hizo picha za watu wakiendesha pikipiki sio ushahidi wa kuthibitisha.
 
Sio kwamba hataki kuwa bungeni, hayo ni maagizo ya waliomnunua, na vile fungu wameshampa wanampa muongozo nini cha kufanya. Huoni yeye anaribuni wanachama na wafuasi wa upinzani tu, lakini ni marufuku kusema kawapata wanaccm, maana mkataba wa manunuzi haruhusiwi hilo.
Aisee.. Yani jamaa amegeuzwa cndm... Yani atatumika na kutupwa puuuhh
 
Sio kwamba hataki kuwa bungeni, hayo ni maagizo ya waliomnunua, na vile fungu wameshampa wanampa muongozo nini cha kufanya. Huoni yeye anaribuni wanachama na wafuasi wa upinzani tu, lakini ni marufuku kusema kawapata wanaccm, maana mkataba wa manunuzi haruhusiwi hilo.

Kwa werevu wote wanajua kuwa kila anachofanya bwana huyu basi ni kile alichopewa maagizo kukifanya na si vingenevyo, yeye anatumika kama kupiga ramli kuangalia upepo ukoje kabla ya kazi kuanza
 
Mbatia ni mali ghafi ya ccm. Hana tofauti na changudoa ambaye akishalipwa hawezi tena kumlazimisha mlipaji avae condom.

Mbatia hapo ndipo alipofikia, haraka anaungana na akina Lipumba, Mrema, Cheyo na Shibuda kwenda utumwani ccm.
 
Uenda tz kuna vyama 2tu vya ushindani au upinzani vya ukweli, chadema na ACT wazalendo, vingine ni kama matawi ya chama tawala, hawa hata aibu kujidhihirisha hivyo!
 
Back
Top Bottom