Mbatia amvua Uongozi wa 'Katibu Wanawake NCCR' Bi Amina!

Kwani huyo katibu anakosa hapo? Kama wanawake wa chama waliamua hivyo, kwanini asisaini? Na kama alisaini kwa niaba yao, kwanini atolewe sadaka? Bado sijaelewa hapo!

Ninamashaka na maamuzi ya Mbatia. Jana kamtimua Kafulila., leo Katibu wa wanawake. Lazima kuna tatizo kubwa kuliko tunavyodhani!
 
Back
Top Bottom