Elections 2010 Mbatia amepata funzo!!!

mtemiwao

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
384
46
Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r!
 
Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r!
Kama raia wa kawaida, pamoja na wapiga debe mtaani wamemstukia kuwa ni kilaza na anaendesha tabia zisizokubalika na jamii ya Kiafrica, kwanini anadhani anafaa?..Hivi hajistukii kuwa tabia hizo ni chafu?, na still anataka kuwa mbunge:A S-cry:(
 
Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r!

Sasa aende salama mahakamani akasubiri billions zake, halafu huyu jamaa kwa safari hii naye kaonyesha rangi zake zote kama Lyatonga
 
james-mbatia.jpg

naona yuko kimrema mrema zaid
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom