Amezoea viti maalum huyu fisadi akishindwa sijui watalala wapi mafisadi hawa.My take: amsubir rais October 11 akianza ziara kilimanjaro aje ampige tafu maana kwa staili hii na tabia zake mbatia kisiasa mwisho October 25. Labda lowassa nae ampe viti maalum. Anastahili