Mbatia afungua kampeni jimbo la Vunjo

Majasho

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
413
213
James Mbatia akifungua kampeni vunjo. Akihutubia makumi ya wana vunjo alisema achaguliwe kua mbunge.
 

Majasho

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
413
213
My take: amsubir rais October 11 akianza ziara kilimanjaro aje ampige tafu maana kwa staili hii na tabia zake mbatia kisiasa mwisho October 25. Labda lowassa nae ampe viti maalum. Anastahili
 

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,990
12,465
attachment.php
 

Majasho

JF-Expert Member
Aug 4, 2009
413
213
Nilikua kwenye mkutano watu hamna kabisa. Watu hawafili mia kwa ufunguzi. mrema alikimbiza balaa. Jamaa bora angechagua jimbo ambalo ni jipya

Apa kachemsha
 

makondejr

New Member
Aug 15, 2015
1
0
Mbatia asuburi viti maalamu tena. Yeye kazi kupokea wananchama wa chadema ndani ya UKAWA . Akajenge nccr kwanza
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,262
7,174
Mrema hapiti mwenyewe anakiri makujwaani.Anomba Lowasa amkanye Mbatia, anawaliliwa wana vunjo eti ng`ombe hazeeki maini, anawauliza kawakosea nini kibaya hivyo hadi waamue kumpiga chini vibaya hivyo..mwehu tuu ndie atataka sema kwamba ni tishio kwa mbatia.
 

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,950
4,624
My take: amsubir rais October 11 akianza ziara kilimanjaro aje ampige tafu maana kwa staili hii na tabia zake mbatia kisiasa mwisho October 25. Labda lowassa nae ampe viti maalum. Anastahili
Amezoea viti maalum huyu fisadi akishindwa sijui watalala wapi mafisadi hawa.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom